| Breda la aina ya Terex likiwa katika viwanja vya Mlimani Cty wakati maonyesho ya CRB 2015 Dar es Salaam |
| Afisa masoko wa kampuni ya GF Truks Salumu akimpa maelekezo Rais Mstaafu wa awamu ya 3 Benjamini Mkapa . |
| Rais mstaaf Benjamini mkapa akitembelea banda la kampuni ya gf. |
| Salumu akimwaga sera mbele ya Mzee Mkapa. |
| WafanyabiasharaBaadhi ya bidhaa zinazopatikana katika kampuni ya GF Trucks & Equipments Ltd. |
No comments:
Post a Comment