Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Sunday 17 May 2015

MZEE MWINYI ATEMBELEA BANDA LA GF TRUCKS NDANI YA MAONYESHO YA CRB 2015

Waziri wa Ujenzi ,John Magufuli akimuonyesha Rais wa awamu ya pili, Alli Hassan Mwinyi Greda aina ya Terex  alipotembemea banda la kampuni ya GF  wakati wa maonyesho ya CRB Dar es Salaam.

Afisa masioko wa kampuni ya GF ,Emmanuel Mshindo akimwelezea ubora wa mashine zinazouzwa na kampuni hiyo Raisi mstaafu  Alli Hassan Mwinyi  alipotembemea banda la kampuni ya GF  wakati wa maonyesho ya CRB Dar es Salaam.

Pia kampuni ya GF  ni wauzaji wa magari aina ya FAW, na mitambo ya kutengenezea barabara XCMG wanapatikana Nyerere Road eneo la Sidojijini Dar  es Salaam

No comments:

Post a Comment