Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Tuesday, 19 January 2016

DIWANI WA KUNDUCHI CCM, MICHAEL URIO AANZA KAZI KWA KUPANDA MITI.

Diwani wa Kata ya Kunduchi kupitiua CCM,Michael Urio akizungumza na wandishi wa habari wakati  wa Semina elekezi kwa watendaji wa serikali waliopokata ya Kunduchi jijini Dar es Salaam.

Diwani wa Kataya Kunduchi kupitiua ccm ,Michael Urio akishiriki zoezi la upandaji miti wakati wa mkutano wa kuwajengea uwezo na viongozi wote wa serikali waliopo katika kata ya Kunduchi. Dar es Salaam.Kulia ni Mwenyekiti wa serikali ya mtaa Richard Rusisye na Afisa mtendaji kunduchi Ramadhani Masenza

HAPA KAZI TUU KUNDUCHI BILA UCHAFU INAWEZEKANA.

No comments:

Post a Comment