| Diwani wa Kata ya Kunduchi kupitiua CCM,Michael Urio akijadiliana jambo na Mkuu wa sekondar ya Mtakuja wakati wa ziara ya kuangalia changamoto zilizop[o katika shule . |
| Diwani wa Kata ya Kunduchi kupitiua CCM,Michael Urio akiwafundisha wanafunzi wa kidato cha 2 wakati wa ziara hiyo. |
| Diwani wa Kata ya Kunduchi kupitiua CCM,Michael Urio akiwaga wanafunzi wa shule hiyo wakati wa ziara yake. |
| Diwani wa Kata ya Kunduchi kupitiua CCM,Michael Urio akifurahia jambo na wanafunzi wa shule ya sekondar ya Ununio mara baada ya kufika kwa ajili ya kuwakabidhi Tanki la maji. |
No comments:
Post a Comment