Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Thursday, 11 February 2016

DIWANI KUNDUCHI AFANYA ZIARA KATIKA SOKO LA TEGETA NA SOKO LA SAMAKI KUNDUCHI PWANI

Diwani wa Kunduchi Michael Urio akiangalia mboga mboga zilizopon soko la Tegeta Nyuki wakati wa ziara ya kikazi aliyoifanya kuangalia changamoto zilizopo katika soko hilo jijini Dar es Salaam
Diwani wa Kunduchi Michael Urio akiangalia samaki wakati alipotembelea soko la samaki la Kunduchi ikiwa ni ziara ya  kikazi aliyoifanya kuangalia changamoto zilizopo katika soko hilo samaki  jijini Dar es Salaam.


Diwani wa Kunduchi Michael Urio Akiangalia nyavu zinazotumiwa na wavuvi kuvulia samaki katika pwani ya Kunduchi

Diwani wa Kunduchi Michael Urio akizungumza na Mama lise wa soko  la Tegeta Nyuki wakati wa ziara ya  kikazi

Diwani wa Kunduchi Michael Urio akipanda mti wa ukumbusho katika soko la Nyuki



Diwani wa Kunduchi Michael Urio akiangalia sehemu ya dampo la Taka lililopo katrika soko hilo la Tegeta Nyuki

Diwani wa Kunduchi Michael Urio akizungumza na wandishi wa habari ikiwa ni hitimisho ya ziara yake

No comments:

Post a Comment