Mgeni rasmi katika mchezo huo Diwani wa Kunduchi Michael Urio akisalimiana na viongozi wandamizi mara baada ya kuwasili
|
Mgeni rasmi akisalimiasna na Jonh Chacha (Banyaa) mara baada ya kuwaqsili meza kluu |
Wadau wakifatilia mpira.
|
Diwani wa Kunduchi Michael Urio ambaye mlezi wa timu ya Tegeta akibadilishana mawazo na Mlezi wa timu ya Nyara ,Diwani wa Kawe Rutta Rwakatare.
|
No comments:
Post a Comment