Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Friday, 19 February 2016

FEZA YAZIPIGA JEKI SHULE ZA MANISPAA YA KINONDONI

Mkuu wa Wilaya ya Kiondon, Pou Makonda akimkaribisha Mtendaji mkuu wa shule za Feza, Isa Otcu wakati wa makubaliano ya kuzisaidia shule za wilaya ya kinondoni,missada mbali mbali ikiwamo ujenzi wa matanki ya kuhifadhia maji na vitu vingine vitakavyogharimiwa na Feza ikiwa ni hatua ya kuisaidia serikali ya awamu ya 5. 

Mkuu wa Wilaya ya Kiondon, Pou Makonda akizungumza na wandishi wa habari kulia ni Mtendaji mkuu wa shule za Feza, Isa Otcu 

Msafara mzima ukiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa hasfla hiyo


Mkuu wa shule ya Feza boys Ibrahim Yunus (katikati )akijibu maswali ya wandishi wakati wa hafla hiyo wengine ni Mkuu wa Wilaya ya Kiondon, Pou Makonda (kushoto) na  Mtendaji mkuu wa shule za Feza, Isa Otcu . 

No comments:

Post a Comment