Innocent Lawrence akipitia matokeo yake na mwalimu muda mfupi baada ya kutangazwa. |
Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Feza wavulana wakimshangilia mwenzao, Innocent Lawrence baada ya kuibuka mwanafunzi bora kwa wanaume kitaifa kwa mtihani wa Kidato cha Nne |
Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Feza Girls wakimshangilia mwenzao,Congcong Wang baada ya kuibuka mwanafunzi wa pili kitaifa. |
Mkuu wa Feza Girls akimpongeza Congcong Wang shuleni hapo |
No comments:
Post a Comment