Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Friday, 19 February 2016

KUNDUCHI WAPANDA MITI KUADHIMISHA TAASISI YA JANE GLOBAR ROOTS & SHOOTS

Diwani wa Kunduchi Michael Urio akiongozana na maafsa wa serikali kwa ajili ya kupanda miti ikiwa ni madhimisho ya miaka 25 ya tasisi ya Jane globar roots & shoots  iliyofanyika Kunduchi Dar es Salaam kwa kupanda miti sehemu mbalimbali.

Diwani wa Kunduchi Michael Urio akiushiriki upandaji miti



Afisa Mnadhimu wa jeshi la polisi ofisi ya RPC Kinondoni ,SSP  Sadiki Chuwa akiwashuhudia maofisa wa polisi wakiongozwa na Ocd wa Kawe John Malulu wakishiriki upandaji miti ikiwa ni madhimisho ya miako 25 ya tasisi ya Jane globar roots & shoots  iliyofanyika Kunduchi Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment