![]() |
| Vijana wanavyuo wa Chadema wanaohitimu wakiwa ukumbini |
![]() |
| Vijana wanavyuo wa Chadema CHASO wakionyesha salamu ya mabadiliko wakati wa Mahafali yao yaliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salam wakati wa Mahafali yao |
![]() |
|
Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa akizungumza
wakati wa mahafali ya vijana wanavyuo wa
Chadema wanaohitimu katika vyuo kadhaa yaliofanyika jijinin Dar es Salaam
|



No comments:
Post a Comment