Mkurugenzi mkuu wa Maxcom Mhandisi,
Juma Rajabu . akizungumza wakati wa uzinduzi wa CARD za kudumu za kusafiria
katika mabasi ya mwendo kasi jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mtendaji
Mkuu wa Udart, David Mgwassa na Kushoto ni Afisa Habari wa UDRT ,Deusi Buganjwa
Picha na Kusini Blog
|
No comments:
Post a Comment