Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Saturday 24 September 2016

DIWANI KUNDUCHI AZINDUA HUDUMA YA BIMA YA AFYA YA TIKA KWA WAKAZI WA KINONDONI

Diwani wa Kunduchi, Michael Urio akiviongoza vikundi vya jogging kufanya mazoezi wakati wa bonanza la michezo na Uzinguzi wa huduma ya bima ya Afya kwa kadi manispaa ya Kinondon (TIKA ) itakayomwezesha mkazi wa Wilaya ya Kinondoni kuchangia kiasi cha shilingi elf 40 kwa mwaka mzima na ataweza kujipatia huduma ya matibabu katika kituo cha afya chochote cha serikali kilichopo katika manispaa hiyo uzinduzi huo ulivikutyanisha vikundi mbali mbali vya Jogig katika maeneo ya Kunduchi,Ununio,Tegeta na Bunju  uliofanyika kwenye viwanja vya Jeshini kunduchi Dar es Salaam  

Diwani wa Kunduchi, Michael Urio akitanua nyonga.



Diwani wa Kunduchi, Michael Urio akikagua timu ya mbali mbali za mpira wa miguu  wakati wa bonanza la michezo na uzinguzi wa huduma yabima ya  Afya kwa kadi manispaa ya Kinondon (TIKA )  uliofanyika kwenye viwanja vya Jeshini kunduchi Dar es Salaam juzi




Diwani wa Kunduchi, Michael Urio akiwa katika picha ya pamoja na kikundi cha michezo za Ununio


Urio akiwa na swahiba wake wakipongezana kwa kufanya mazoezi yanayopelekea kutokuwa na kitambi

No comments:

Post a Comment