Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Thursday 19 January 2017

WAZIRI WA UJENZI ,MAWASILIANO NA UCHUKUZI PROF,MAKAME MARAWA AKAGUA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE TERMINAL (3)

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Kulia) akitoa maelekezo kwa watendaji wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) mara baada ya kukagua jengo jipya la abiria  (Terminal  III) lililopo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere JNIA, Jijini Dar es salaam.


Mkurugenzi wa Mradi wa jengo jipya la Terminal III lililopo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA), Eng. Mohamed Milanga (Katikati) akitoa maelezo ya ujenzi wa jengo hilo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia) wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi huo, Jijini Dar es salaam


Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Wa pili kulia) akikagua maendeleo ya Ujenzi wa jengo jipya la Abiria (Tb III) lililopo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere JNIA, Jijini Dar es salaam.


Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA) Bw. Salim Msangi akisoma taarifa ya utekelezaji kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Wa kwanza kulia) kuhusu Ujenzi wa jengo jipya la abiria (Tb III), lililopo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere JNIA. Jijini Dar es salaam.
Picha Zoote na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano 


No comments:

Post a Comment