| Sehemu ya vifurushi vya vyakula vilivyotolewa na Tasisi ya Rehema kwa wakazi wa Bagamoyo. |
| Mmoja ya viongozi wa Tasisi ya Rehema,Shekh Zubery akigawa msaada huo wa futari kwa wakazi wa kilomo Bagamoyo |
|
Mbungw wa Bagamoyo Shukuru Kawambwa akiwa na timu mzima wakati wa zoezi hilo.
|
|
Alii kutoka tasisi hiyo akimkabidhi mmoja ya wazee wa Bagamoyo
|
|
Shekh Zuberi akimkabidhi Imamu wa msikiti wa Kilomo fuko lake
|
| Baada ya kazi kubwa ya kuzunguka sehemu mbali mbali huku mvua ikisherehesha kazi hiyo mwisho watu woote walimaliza kwa Duwaaaaa.Picha na Said Khamis |
No comments:
Post a Comment