Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Tuesday 28 March 2017

MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI WA NCHI MBALI MBALI IKULU DAR ES SALAAM



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho  kutoka  kwa  Balozi wa Hungary nchini mwenye makazi yake jijini Nairobi Kenya, Laszlo Eduard Mathe Ikulu jijini Dar es salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Mhe. Sidibe Fatoumata Kama,Balozi wa Guinea  nchini mwenye makazi yake jijini Addis Ababa, Ethiopia  Dar es salaam



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Mhe. Lebonaamang Thanda Mokalake,Balozi wa Botswana nchini mwenye makazi yake jijini Lusaka, Zambia, leo  Ikulu jijini Dar es salaam




No comments:

Post a Comment