Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Monday, 24 March 2014

Wafanyakazi wa Shoprite wagoma







Wafanyakazi wa Maduka ya Shoprite wakiandamana nje ya ofisi zao kamata jijini Dar es Salaam kushinikiza kulipwa hakizao baada ya mmiliki wa awali kuiuza kampuni hiyo kwa kampuni ya Nakumatt ya Kenya .
Wakiongea na Kusini Gesi wafanyakazi hao walidai kwamba ifikapo mwisho wa mwezi huu ndio mwisho wa wamiliki hao wa awali kuendelea kuendesha kampuni hiyo na daadae watakabidhi kwa Nakumatt hivyo wamefikisha swala hilo katika ngazi za kisheria ikiwa ni pamoja na kufungua kesi mahakama ya Kazi



No comments:

Post a Comment