Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Wednesday, 30 April 2014

SERIKALI KUTOA KIPAUMBELE KWA SEKTA YA NISHATI NA GESI BAJETI YA 2014/2015.

WaziriwaNchiOfisiyaRais,MahusianonaUratibu , Stephen Wasira akisoma rasimu ya mpango wa Bajeti
WaziriwaFedhanaUchumi,SaadaMkuya akisoma lasimu ya Bajeti.


Na Kusinigesiblog,Dar
SERIKALI inampangowakutoavipaumbelekwasektayaGesinaNishatikatikabajetimpyayamwakampyawafedha 2014/2015
AkisomaRasimyampangowaMaendeleowaTaifa 2014/2015WaziriwaNchiOfisiyaRais,MahusianonaUratibu , Stephen Wasira (MB) alivitajabaadhiyavipaumbeleikiwanisektayagesiasiliaambapoalitajakuwakatikaeneo la nishatikazizilizofanyikakatikamradiwaBomba la Gesi (Mtwara –Dar es Salaam)nikupokeamabomayoteyatakayohitajikakatikamradihuo
PiakuendeleakutandazanjiazamabombayagesihadiKilomita 498.5 sawanaasilimia 96 yanjiayoteyamabombayenyeurefuwakilomita 212 katikamradiwakufuaumemewaKinyerezi I (MW 150)       kwakutumiagesiasili.
LengolilikuanikuanzakwaujenziwaMtambowakuzalishaUmemeambapohatuailiyofikiwahadiMachinikuagizamitambonavifaambalimbali,ambapoJenereta2zaGesiAsiliazimewasilinaujenziwamtamboumeanza.
Hatahivyoserikaliimesemaitaendeleakutafutavyanzovyafedhakwaajiliyamiradiyaumemewamsongowa 220 KvNorh –West GridKvIringa –ShinyanganaMakambakoSongea.

No comments:

Post a Comment