Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Thursday, 1 May 2014

RAIS KIKWETE, AONGOZA MADHIMISHO SIKU YA MEI MOSI JIJINI DAR ES SALAAM

Baadhi ya wafanyakazi wa Swissport wakipita mbele ya jukwaa kuu


Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Fedha walikuwepo pia


Chuo cha usimamizi wa Fedha IFM hao


Wadau wakubwa wa blog hii watengenezaji wa mabomba ya kusafirishia gesi



Wazee wa Mgao Tanesco

Rais kikwete Katbu mkuu wa Tucta ,Mgaya  akifatilia maandamano


Hospitali ya Agha khani walikuwepo
Wazee wa mfuko wa GEPF



Baadhi ya wafanyakazi wa PPF wakipita kwa maandamanao  mbele ya jukwaa kuu





No comments:

Post a Comment