Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Saturday, 23 March 2019

MTUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI APANDISHWA KIZIMBANI TENA

mtuhumiwa kisutu
Mtuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi (Economic crime Case 17,2018),Assim Altaf  akiwa chini ya ulinzi wa askari magereza huku akisindikizwa na wanasheria wanae mtetea katika mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam .Picha Kusini Blog

Mtuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi (Economic crime Case 17,2018),Assim Altaf  akirudishwa rumande. Picha Kusini Blog