Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Sunday, 15 June 2014

SHULE YA ANAZAK YAPATA TUZO YA SHULE BORA NA MWANAFUNZI BORA MASOMO YA SAYANSI

Muonekano wa TUZO

Dk Yahya Kishashu akipokea tuzo kutoka kwa Mwanae , Samira Kishashu(kulia) baada ya kushinda tuzo ya umahiri kwa masomo ya Sayansi na Hisabati yalioandaliwa na Wizara ya Elimu kwa kushirikiana na Shule ya Feza


Mwenyekiti wa Shule ya Azanak , Dk.Josephat Kweka akimkabidhi  tuzo  Mkuu wa Shule Oscar Kinyau walioshinda kwa kuwafikia Mpango wa matokeo makubwa sasa kwa upande wa Elimu

Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Anazak ,Samira Kishashu(kulia) akimkabidhi tuzo Mwenyekiti wa Shule Dk.Josephat Kweka aliyoshinda kwa kuwa mwanafunzi bora wa kike na  mahiri katika masomo ya Sayansi na Hisabati yalioandaliwa na Wizara ya Elimu kwa kushirikiana na Shule ya Feza .Katikati ni Baba  Mzazi wa Samira,  Dk Yahya Kishashu .Picha na Said Khamis


Jengo jipya la gorofa la shule hiyo baada ya muda mfupi wanafunzi wa shule hiyo watakuwa watoto wa Magorofani.


Mkurugenzi wa Shule ya Anazak akimpa mkono wa pongezi Samira Kishashu kwa kuiwakilisha vizuri shule hiyo.


No comments:

Post a Comment