Mwanasheria wa TACAIDS ,Thadeus Kagumisa akielezea
jambo katika Semina ya Waandishi wa
Habari Kuhusu Mambukizi ya Ukimwi iliyoandaliwa na Ajaat jijini Dar es Salaam .Kusini
gesi
|
Afisa Habari wa TACAIDS ,Simon Karario akitoa mada wakati wa Semina ya Waandishi wa Habari Kuhusu Mambukizi ya Ukimwi iliyoandaliwa na Ajaat jijini Dar es Salaam .Picha na Kusini gesi |
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifatilia kwa makini semina ya Mambukizi ya Ukimwi iliyoandaliwa na Ajaat jijini Dar es Salaam .Picha na Kusini gesi |
No comments:
Post a Comment