Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Friday, 22 May 2015

PATA VIWANJA HAPA "VIKURUTI HILLS KIBAHA"

KWA MAHITAJI YA VIWANJA BORA VILIVYOPIMWA NA KUPATIWA HATI WASILIANA KWA NAMBA HIZO HAPO JUU ILI UONYESHWE VIWANJA VILIVYOPO KIBAHA PWANI









Mkurugenzi mkuu wa masoko wa kampuni ya Property International ltd  Zohra Moore akizungumza wakati wa uzinduzi wa uzwaji wa viwanja vya mradi wa VIKURUTI HILLS vilivyopo Kibaha mkoani pwani kwa kusirikiana na Bayport  wakati wa hafla iliyofanyika Dar es Salaam
   Mkurugenzi wa Bayport ,John Mbaga  akifafanua jambo wakati wa uzinduzi huo

   Kikosi kazi cha Maafisa masoko na wakurugezi wa  Property International ltd  wakiwa katika picha ya pamoja


   Baadhi ya wageni na wadau mbali mbali wakifatilia tukio zima


   Afisa mipango miji wa wilaya Kibaha, Obed Katonge (wa pili kutoka kulia)akibadilishana mawazo na wakurugenzi wa Property International ltd katika hafla hiyo

No comments:

Post a Comment