Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Thursday, 5 June 2014

MAZIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Ikiwa tunaadhimisha siku ya mazingira duniani lakini sehemu nyingi za jiji la Dar es Salaam ni chafu na zinatiririsha maji machafu kama picha inavyoonyesha chemba ya maji machafu ikiwa imefurika na maji kusambaa mtani katika eneo la Soko la Kisutu


Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema,akihutubia katika madhimisho hayo


Msanii wa sarakasi akionyesha uwezo wa kunawa uso kwa miguu




Wanafunzi wa shule ya Kiwalani wakionyesha uwezo wa kucheza ngoma ya Makilikili

Wazee wa Ngwasuma nao walikuwepo

Stephen Madenge  mwakilishi wa Chuo cha Taifa cha Utalii akipokea cheti cha mshindi wa pili kwa Vyuo kwa utunzaji wa Mazingira kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema jijini Dae es Salaam


No comments:

Post a Comment