Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Tuesday, 16 June 2015

ANDO ROOFING PRODUCTION YASHINDA TUZO ZA SUPER BRANDS

Mkurugeni mkuu wa Ando Ado Maimu akizungumza na wandishi wa habari wakatio wa utoaji wa tuzo hizo.

Mkurugezi wa kampuni ya Ando roofing products Tanzania Ltd, Ado Maimu akipokea tuzo ya super brands kwa kuwa kampuni bora ya kizalendo kwa utengenezaji wa Mabati na Vigae kwa ukanda wa Afrika Mashariki kutoka kwa Mkurugenzi wa wa taasisi ya Super brands Jawad Jaffer wakati wa hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana.

Mkurugezi mkuu wa Ando roofing products Tanzania Ltd, Ado Maimu akifurahia tuzo na baadhi ya wafanyakazi mara baada ya kupokea

Moja ya nyumba iliyoezekwa kwa Vigae kutoka kampuni ya  Ando roofing products Tanzania Ltd

No comments:

Post a Comment