Edward
Lowassaakitoa neno la shukurani baada ya kupewa pesa za kuchukua fomu ya kuwania urahisi na wanchama wa ccm Tabora.
Mzee
wa CCM wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Yusuf Bundala Kasubi, (kulia) akimkabidhi Waziri
Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, zaidi ya shilingi
milioni moja, zilizochangwa na wanachama wa CCM mkoani Tabora, ili kumuwezesha
mtangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM, Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa,
ili azitumia kulipia ada ya kuchukua fomu za kuwani urais kupitia chama hicho.
Waziri
Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, ambaye tayari ametangaza nia ya kuwania
urais kupitia CCM, Edward Lowassa, akisalimiana na ujumbe wa wana CCM kutoka
mkoani Tabora, walipofika nyumbani kwake mjini Dodoma leo Alhamisi Juni 4,
2015, ili kumpatia mchango wao wa nkumuwezesha kulipia ada ya fomu ya kuwani urais
Waziri
Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, ambaye tayari ametangaza nia ya kuwania
urais kupitia CCM, Edward Lowassa, akisalimiana na ujumbe wa wana CCM kutoka
mkoani Tabora, walipofika nyumbani kwake mjini Dodoma leo Alhamisi Juni 4,
2015, ili kumpatia mchango wao wa nkumuwezesha kulipia ada ya fomu ya kuwani
urais
No comments:
Post a Comment