Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Thursday, 4 June 2015

TFF YAZINDUA JEZI MPYA NA KUGAWA TUZO

Wanamitindo wakionyesha jezi mpya ya timu ya soka ya Tanzania Taifa stars jijini Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Kamatiya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, Said Mtanda akimkabidhi Tuzo ya kutambua mchango wake katika soka  aliyekuwa mwenyekiti wa Fat Muhidini Ndolanga.Kulia ni Raisi wa TFF Jamal Malinzi.

Mwenyekiti wa Kamatiya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, Said Mtanda akimkabidhi Tuzo ya kutambua mchango wake katika soka  aliyekuwa Katibu mkuu wa Fat Michael Wambula.Kulia ni Raisi wa TFF Jamal Malinzi.

Mzee Jabili Katundu akiwa na tuzo mara baada ya kutunukiwa kwa kuwa kiongozi wa klabu akiwawakilisha wengine.

No comments:

Post a Comment