Pia Big Bon ni wauzaji wa Mashine za kuuzia Mafuta ambazo hupatikana Dukani kwao Kariakoo na wanamafundi wazoefu ambo hukufungia Mashine hizo za kisasa za Electronic |
Muonekano wa kituo hicho kwa juu |
Mitungi ya Gesi ya ORYX ikiwa imepangwa mteja anaenunua gesi hupata usafiri wa kupelekewa hadi nyumbani kwake. |
Mafuta Mazito(oil) yakiwa yamepangwa kwa ajili ya matumizi ya kulainishia Magar,Bajaji ,Pikipiki na Mitambo mbali mbali. |
nataka kujua bei ya oryx litre 1 kwa katon,maana naitaji kama katon 500
ReplyDeletecontact 0757738680
ReplyDelete