Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Sunday, 6 July 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA GF TRUCKS & EQUIPMENTS


Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo kutoka kwa afisa masoko Mwandamizi wa kampuni ya GF Eng .Jumaa Hamsini wakati alipotembelea banda la kampuni ya GF wakati wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa.

Rais Jakaya Kikwete akiangalia Magari ya Kampuni hiyo 

Rais Kikwete akiangalia gari aina ya FAW alikumbushia akiwa Mbunge wa Chalinze alishawahi kununua gari ya FAW .



Afisa mauzo mkuu wa kampuni ya GF akiinua juu ngao mara baada ya kukabidhiwa kwa kuibuka washindi wa kwanza kwa uuzaji na uagizaji wa Magari na Mitambo ya kutengenezea barabara wakati wa Maonyesho ya 38 Biashara ya Kimataifa jijini Dar es Salaam 2014.

No comments:

Post a Comment