Mtuhumiwa wa kesi ya Mauaji, Conrad Leo (33)akiwa ndani ya gari ya polisi akipelekwa Mahabusu baada ya kuachiwa na kukamatwa tena katika mahakama ya
Kisutu jijini Dar es Salaam .Mtuhumiwa huyo anashitakiwa kwa kosa la kumuua
kwa kutumia silaha Ayoub Mlai |
No comments:
Post a Comment