Mkurugezi wa Star time,Jack Zhou akizungumza na wahandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa chaneli ya tamthilia ya Kiswahili jijini Dar es Salaam
Kutoka kulia Balozi wa China nchini Liu Dong ,Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji (TBC),Clement Mshana na Mkurugezi wa Star time,Jack Zhou wakipigamakofi baada ya kuzindua rasmi chaneli ya tamthilia ya Kiswahili jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment