Mwenyekiti wa Simba Evas Aveva akizungumza wakati wa mkutano mkuu wasimba wa mwaka uliofanyika Dar es Salaam jana,Wengine ni Makamu mwenyekiti wa klabu hiyo Godfrey Kaburu(katikati) na Mwanasheria mkuu wa timu hiyo Damas Ngumbalo.
Baadhi ya wanachama wa Simba wakifurahia baada ya kupitishwa kipengere cha kufutwa uanachama Mwanachama wa Simba atakayepeleka mahakamani masuala ya mpira.Hivyo Wambura na wapambe wake wamefutiwa uanachamsa rasmi.
Wanachama wakiondoka ukumbini baada ya kumaliza kazi iliyowapeleka.
No comments:
Post a Comment