VUNJA BEI ATOA MSAADA WA VYOMBO KWA WAUMINI WA MAKANISA JIJINI DAR ES SALAAM
Mfanyabiashara wa Vyombo,
Shija Ulaya maarufu VUNJA BEI
akigawa vyombo kwa waumini wa kanisa katoriki Parokoa ya Mtakatifu Yohane
,Tegeta Dar es Salaam ikiwa ni Sadaka na fungu la kumi kwa waumini wa kanisa
hilo Mfanya biashara huyo amekuwa akigawa misaada mbali mbali kwa jamiina tasisi tofauti tofauti ikiuwa ni hatua ya
kujiweka karibu nas jamii
Waumini wakichangamkia fursa kwa kujipatia vyombo kutoka kwa VUNJA BEI
VUNJA BEI
akigawa vyombo kwa waumini wa kanisa katoriki Parokoa ya Mtakatifu Yohane
,Tegeta Dar es Salaam ikiwa ni Sadaka na fungu la kumi kwa waumini wa kanisa
hilo
No comments:
Post a Comment