Meya wa jiji la Dar es Salaam, Isaya Charles Mwita akitoa neno la shukurani baada ya kutangazwa mshindi. |
Baadhi ya viongozi wandamizi wa Chadema wakifatilia mchakato wa uchaguzi huo. |
Meya wa jiji la Dar es Salaam, Isaya Charles Mwita akiwasalimia wanachama baada ya kutangazwa kuwa mshindi |
Madiwani wa CCM wakiwa hawaamini kinachoendelea ukumbini |
Diwani wa Kunduchi Michael Urio(mwenye suti) akiwa na madiwani wenzake |
Askari polisi akituliza wandishi wa habari kutekeleza majukumu yao baada ya madiwani wa ccm kuwataka wandishi kutochukuwa picha wakati wa zoezi la upigaji kura likiendelea. |
No comments:
Post a Comment