AJALI MBAYA YAUWA WATU 17 YAHUSISHA MORO BEST NA LORI LA MAGOGO
Pichani ni sehemu ya mbele ya basi hilo baada ya
ajali
Pichani ni baadhi ya miili ya abiria waliokuwepo katika basi hilo ju na chini
Ajali mbayaimetokea leo hasubui na kusababisha vifo vya watu zaid ya 15 katika eneo
la Pandambilikatikati ya Dodoma na
Morogoro ikihushisha gari ya Moro Best (basi
la abiria ) na Lori la Magogo iyokuwa ikitoka Morogoro kwenda DODOMA
No comments:
Post a Comment