Baadhi ya Magari ya mizigo FAW yakiwa katika yadi ya kampuni ya GF magari hayo ni sehemu ya mandalizi ya Maonyesho na mkutano wa mwaka wa ERB utakaofanyika jijini Dar es Salaam |
Mitambo ya kutengenezea baraba na kuchimia mitaro na migodini aina ya TEREX pia ni sehemu ya mashine zitakazokuwepo katika viwanja vya mliman cty wakati wa mkutano wa ERB . |
EXCMG pia ni miomngoni mwa mitambo inayouzwa na kampuni ya GF itakuwepo katika maeneo ya viwanja vya mliman cty Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment