Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Sunday, 31 August 2014

WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI WATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM



Mkurugenzi wa Kampuni ya kushusha Makontena Ticts ,Paul Wallace (kulia) akiwaonyesha wabunge wa Bunge la Afirika Mashariki mashine mpya za kushushia Makontena wakati wabunge hao walipofanya ziara ya kutembelea Bandari na Maofisa wa TRA jijini Dar er Salaam jana.


Sehemu ya  Mashine za kushusha kontena zilizoshushwa hivi karibuni na kampuni ya Ticts. Picha na kusinigesiblog.


No comments:

Post a Comment