Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Sunday, 24 August 2014

REAL MADRID YAZINDUA DUKA LA VIFAA VYA UMEME LA TRONIC JIJINI DAR ES SALAAM

Kiungo wa Timu ya Real Madrid Christian Kalembeu akiangalia vifaa katika duka jipya la vifaa vya umemev la Tronic lililopo eneo la Sayasnsi jijini Dar es Salaam.

Warembo wakipoz kwa picha ndani nya duka hilo

Wadau mbali mbali wakiwa katika picha ya pamoja na Kalembeu.

No comments:

Post a Comment