Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Sunday, 24 August 2014

WAZIRI KIGODA AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA KICHINA

Balozi wa China nchini akifungua Maonyesho hayo.

Waziri wa  Viwanda na Biashara,Abdala Kigoda na Balozi wa China nchini wakikata Utepe kuashirua ufunguzi rasmi wa Maonyesho hayo.

PichaWaziri akopokea maelezo kutoka kwa washiriki wa maonyesho hayo.

Meneja mkuu wa kampuni ya Lontor,Patrick Chen akionyesha moja ya mashine ya kuulia mbu inayotumia nguvu ya umeme wa jua wakati wa maonyesho ya Bidhaa za Kichina jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment