MAGUFULI AFUNGUA NA KUFUNGA MKUTANO WA ERB JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Ujenzi John Magufuli akisalimiana na Afisa mauzao mkuu wa kampuni ya GF Eng Jumaa Hamsini wakati alipotembelea banda la kampuni ya GF wakati wa mkutano wa ERB Jjijini Dar es Salaam
Waziri wa Ujenzi, John Magufuli akikifungua mkutano wa ERB Jjijini Dar es Salaam
Waziri wa Ujenzi Ujenzi John Magufuli akiangalia moja ya Magari ya FAW wakati alipotembelea Banda la kampuni ya GF Trucks & Equipments ambao ni wauzaji wa Magari na Mitambo kwa ajili ya barabara
Wahandisi wakila kiapo cha utiifu katika mkutano huo.
No comments:
Post a Comment