Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Friday, 19 September 2014

MBOWE ATINGA POLISI

Askari polisi akikagua gari aliyopanda mwenyekiti wa chadema ,Freeman Mbowe wakati akingia makao makuu ya polisi

Askari polisiwakiwazuia viongozi walioambatana na Mbowe kuingia
Wafuasi wa Chadema wakiwa njee ya  makao makuu ya polisi

Add caption

 Mfuasi wa Chadema wakizibitiwa na Polisi nje ya   makao makuu ya polisi

No comments:

Post a Comment