Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Friday, 18 March 2016

WACHINA WA MENO YA TEMBO WAFUNGWA MIAKA 30 JELA

Raia wa China Huang Gin (kulia)na Yu Fujie  watuhumiwa wa kesi ya Meno ya Tembo wakiwa chini ya ulinzi wa polisi wakati wakisomewa hukumu jela miaka 30 kwa kosa la uhujumu uchumi katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es es Salaam jana

Wakiwa ndani ya Mahakama.

Raia wa China Huang Gin (kulia)na Yu Fujie  watuhumiwa wa kesi ya Meno ya Tembo wakiwa chini ya ulinzi wa polisi mara baada ya kuhukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa la Uhujumu uchumi katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es es Salaam jana


No comments:

Post a Comment