Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Thursday, 16 June 2016

AMANA BANK YASHEREHEKEA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA NA WANAFUNZI WA SHULE YA UPANGA

Wanafunzi wakiwa kwenye picha ya Pamoja na wafanyakazi wa beki ya Amana wakatio walipotembelea opfisini kwao ikiwa nuin madhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika Duniani

Wanafunzi wakiwa kwenyewakielekezwa vitu mbali mbali

Mkuu wa kitengo cha fedha wa benki ya Amana ,Said Mbaruk akiwaelezea wanafunzi wa shule ya Upanga huduma mbali mbali zinazofanywa na benki hiyo wakati walipotembelea ofisini hapo ikiwa ni Maadhimisho ya siku ya Mtoto Dunian jijini Dar es Salaam jana.

Wanafunzi wakiwa katika vitengo tofauti

Francis Mizambwe akiwaelezea wanafunzi wa shule ya Upanga huduma mbali mbali zinazofanywa na benki hiyo wakati walipotembelea ofisini hapo ikiwa ni Maadhimisho ya siku ya Mtoto Dunian jijini Dar es Salaam jana.

Shangazi na dada wakiwa na mmoja  ya watoto waliofika

Mkurugenzi mkuu Dr Muhsin (kushoto)akiwa na mkuu wa Masoko na Miradi ,Dassu Mussa wakiwaelezea wanafunzi wa shule ya Upanga huduma mbali mbali zinazofanywa na benki hiyo wakati walipotembelea ofisini hapo ikiwa ni Maadhimisho ya siku ya Mtoto Dunian jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment