Meneja wa Yanga ,Hafidh
Saleh (kushoto) akikabidhiwa jezi no.16mshambuliaji mpya watimu hiyo ,Malimi Busungu wakati wa
utambulisho uliofanyika Dar es Salaam jana.Katikati ni Mkuu wa kitengo cha
habari Jerry Muro
Malimi Busungu akitete jambo na Mkuu wa kitengo cha
habari Jerry Muro baada ya kutambulishwa.
Malimi Busungu akionyesha jezi no 16 aliyokabidhiwa .Jezi hiyo hapo awali ilikua ikivaliwa na Nizar Halfani.
No comments:
Post a Comment