Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Saturday, 30 May 2015

MAK SOLUTION LTD YATOA MSAADA WA VITABU NA MADAFTARI KWA SHULE YA MSASANI

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Mak Solutions Ltd ,Kirubakaran Kripa  akiwakabidhi msada wa  vitabu na madaftari  wanafunzi wa shule ya msingi Msasani baada  ya shule yao kuathirika mafuriko na kufanya uharibifu wakati wa hafla iliyofanyika Dar es Salaam

Mkurugenzi wa kampuni ya Mak Solution ,Meetal Kirubakaran  akiwakabidhi msada wa  vitabu na madaftari  wanafunzi wa shule ya msingi Msasani baada  ya shule yao kuathirika mafuriko na kufanya uharibifu wakati wa hafla iliyofanyika Dar es Salaam

  wanafunzi wa shule ya msingi Msasani wakisoma vitabu mara baada ya kukabidhiwa msaada huo

Baadhi ya wafanyakazi wakipozi kwa pozi kwa picha

Mkuu wa shule ya Msasani akitoa neno la shukurani

S
Shule ya Msasani wakati wa mafuriko

No comments:

Post a Comment