Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Saturday, 30 May 2015

LOWASSA AITEKA ARUSHA

Waziri mkuu Mstaafu Edwad Lowassa akikatiza mitaa ya Arusha kuelekea ofiksi ya ccm asubuhi kabla ya mkutano uliofanyika katika uwanja wa Shek Amr Abed .

Mbunge wa Munduli Edwad Lowassa akisalimiana na viongozi katika ofisi za ccm kabla ya kuanza kwa safari ya matumaini 

Lowassa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa ccm mkoa wa Arusha

No comments:

Post a Comment