THRDC YAWAPIGA MSASA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI NCHINI
Katibu wa Chama cha wamiliki wa Vyombo vya Habari (MOAT) akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari wakati wa kutoa vyeti kwa wahariri walioshiriki semina ya Changamoto na athari wanazokutananazo wakiwa kazini.Kushoto ni Dk Ayubu Lioba .Semina hiyo iliandaliwa na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini
No comments:
Post a Comment