Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Thursday, 12 June 2014

SOKO LA MCHIKICHINI LATEKETEA KWA MOTO


Wafanabiashara wakikusanya mabaki ya Bati katika soko hilo.



Wakazi wa jiji wakiangalia uharibifu uliotokea sokoni hapo.


Nduguzetu Mateja nao hawakukosa wakitafuta mabaki ya chma ili kwenda kuziuza .


Meya wa Ilala Jerry Slaa, akizungumza na wandishi wa habari kuhusu tasmini na hasara za moto huo ambapo alisema itaundwa  tume ya kuchunguza chanzo cha moto huo
 Pia aliwataka waathirika wa moto huo kuto mtuhumu mtu yeyote kwani kuna biashara za vyakula na Pasi ambapo sehemu hizo huweza kubakisha masalio ya moto na kuweza kusababisha moto huo.
Soko hilo limeungua usiku wa kuamkia leo majira ya Saa 5 usiku Ambapo hadi sasa chanzo cha moto huo hakijafahamika

No comments:

Post a Comment