|
Muonekano wa banda la kampuni ya GF Trucks & Equipment
kwa nje ya viwanja vya Diamond jubilee
|
|
Baadhi ya wakandarasi wakila kiapo cha utiifu wakati wa mkutano mkuu wa Bodi ya
wakandarasi nchini uliofanyika jijini
Dar es Salaam
|
|
Makamu wa Rais Dr Mohamed Ghalib Bilali akizungumza
wakati wa ufunguzi wa Mkutano mkuu wa Bodi ya Wakandarasi nchini
|
|
Askari polisi wakichangamkia fursa ya kufahamu
viwanja vilipo wakati walipotembelea banda la Orbit Developer Ltd wakati wa Maonyesho ya
Wakandarasi jijini
|
|
Makamu wa
Rais Dr. Mohamed Ghalib Bilali,akipata maelezo wakati alipotembelea banda la
Hyundai
|
No comments:
Post a Comment