Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Tuesday, 5 June 2018

AMRI SAIDI ASAINI MBAO FC

Mwenyekiti wa timu ya  Mbao, Solly Njashi (kushoto) na Aliyekuwa kocha wa timu ya Lipuli ya Iringa, Amri Said wakisaini mkataba wa kuifundisha timu ya Mbao ya jijini Mwanza kwenye ofisi ya mdhamini wao kampuni ya GF Trucks & Eouipments jijini Dar es Salaam.Picha na Kusini Blog.


Mwenyekiti wa timu ya  Mbao, Solly Njashi (kushoto) na Aliyekuwa kocha wa timu ya Lipuli ya Iringa, Amri Said wakibadilishana nyaraka baada ya kusaini mkataba wa kuifundisha timu ya Mbao ya jijini Mwanza kwenye ofisi ya mdhamini wao kampuni ya GF Trucks & Eouipments jijini Dar es Salaam  .Picha na Kusini Blog.


 Amri Said akikabidhiwa moja ya Tshirt yenye nembo ya mdhamini na Mkurugenzi wa kampuni ya GF Trucks ,Imran Karmal wakati wa hafla hiyo.Picha na Kusini Blog.


Amri Said akikabidhiwa moja ya Tshirt yenye nembo ya mdhamini na Mkurugenzi mwenza wa kampuni ya GF Trucks ,All jawd Karmal wakati wa hafla hiyo.Picha na Kusini Blog.



No comments:

Post a Comment