WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ,LOWASA WAMZIKA ALIYEKUWA ASKOFU WA KANISA LA ANGLICAN CENTRAL TANGANYIKA
Waziri mkuu Mizengo Pinda na mkewe wakitoa heshima
za mwisho walipokuwa wakiuaga mwili wa aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican
Central Tanganika Godfrey Mdimi Mhogolo kabla ya ibada ya mazishi iliyofanyika
katika kanisa la roho mtakatifu Dodoma
Maaskofu mbalimbali wa kanisa la Aglican
wakimwaga udongo kwenye kaburi la aliyekuwaAskofu wa kanisa hilo Central Tanganika Godfrey Mdimi Mhogolo kaburini,
katika mazishi yaliyofanyika nje ya kanisa la Roho Mtakatifu maarufula Mtungi Mjini Dodoma
Waziri mkuu Mizengo Pinda na mkewe wakiweka
shada ya maua juu ya kaburi la aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Central
Tanganika aliyefariki Mwishoni mwa mwezi uliopita alipokuwa kwenye matibabu
nchini Africa ya kusini
Waziri mkuu wa zamani Edwald Lowasa akiweka
shada ya maua juu ya kaburi la aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Central
Tanganika aliyefariki Mwishoni mwa mwezi uliopita alipokuwa kwenye matibabu
nchini Africa ya kusini
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Anne Makinda akiweka shada la maua kwenye kaburi hilo.
No comments:
Post a Comment